Millionaire  Ads

ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara leo jumamosi february 11, je simba kukalia kiti cha uongozi wa ligi



Ligi kuu tanzania bara kuendela leo katika viwanja vinne, timu nane kumenyena kuwania taji la ligi kuu Tanzania bara (VPL).

Michezo ya leo itazikutanisha timu ambazo zinataka kujinasua kutoka mkiani na timu ambazo zinalifukuzia taji hilo

 Ratiba ya leo jumamosi February 11 ni kama ifuatavyo
Dar es salaam

SIMBA VS TANZANIA PRISONS    katika Uwanja wa Taifa

Mtwara

NDANDA FC VS TOTO AFRICAN katika Uwanja wa Nangwanda

Tanga

RUVU SHOOTING VS AZAM FC katika dimba la Mkwakwani

Shinyanga

STAND UNITED VS MAJIMAJI katika Uwanja wa CCM Kambarage

NB:

Michezo yote kupigwa leo saa 10:00 jioni 
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "ratiba ya ligi kuu Tanzania Bara leo jumamosi february 11, je simba kukalia kiti cha uongozi wa ligi"

Back To Top