England - Premier League March 18
Leicester leo jumamosi march 18
itakuwa ugenini kutafuta pointi tatu muhimuitakapocheza na West Ham United ili kuendelea kujiepusha kabisa na wimbi la
kushuka daraja.
Mabingwa Hao wa Epl na wawakilishi
pekee wa England katika ligi ya mabingwa wanaingia uwanjani wakiwa kumbukumbu
nzuri ya ushindi mara 3 mfululizo tangu kufukuzwa kwa kocha mkuu wa timu.
Ratiba kamili ya michuano mbalimbali
barani ulaya ni kama ilivyo hapo chini
ENGLAND: EPL
West Bromwich Albion VS Arsenal
15:30
Stoke City VS Chelsea 18:00
Everton VS Hull City 18:00
Crystal Palace VS Watford 18:00
Sunderland VS Burnley 18:00
West Ham United VS Leicester City 18:00
AFC Bournemouth VS Swansea City
20:30
Spain - LaLiga Santander March 18
Eibar VS Espanyol 15:00
Athletic Bilbao VS Real Madrid 18:15
Alaves VS Real Sociedad 20:30
KILABU BINGWA AFRIKA March 18
CNaPS Sport VS Cotonsport 14:30
Bidvest Wits VS El Ahly Cairo 15:00
Bidvest Wits VS El Ahly Cairo 15:00
Zanaco FC VS Young Africans 16:00
Mounana VS Wydad de Casablanca 17:00
RC Kadiogo VS USM Alger 18:00
Al Merrikh VS Rivers United FC 20:00
FUS Rabat VS Al Ahli Tripoli 22:00
SHIRIKISHO AFRIKA March 18
Ulinzi Stars VS Smouha SC 15:00
Ngezi Platinum VS Recreativo do
Libolo 15:00
Le Messager Ngozi VS ZESCO United 16:00
Rayon Sports VS Onze Createurs 16:30
Young Sport Academy VS CS
Sfaxien 17:00
APEJES Academy VS ASEC Mimosas 17:00
Sporting Club de Gagnoa VS Maghreb
Fez 18:00
Ittihad Tanger VS Kaloum Star 20:00
Al Masry Club VS Djoliba 20:00
JS Kabylie VS Etoile du Congo 20:00
Platinum Stars VS Vipers SC 21:00
NB: tutakuletea update zote za
mchezo kati ya Zanaco FC VS Young Africans
0 Comment untuk "RATIBA VPL, LALIGA,SERIE A, LIGI YA MABINGWA AFRIKA, SSHIRIKISHO AFRIKA LEO MARCH 18"