Wachezaji
hao ni Ibrahimu Ajib, Shiza Kichuya, Jonas Mkude, Mohammed Hussein
‘Tshabalala’, Abdi Banda, Said Ndemla na Muzamiri Yassini.
Mchezaji
tegemeo kwa Simba mrundi Laudit Mavugo pia ametua kwa ajili ya mchezo huo.
jana alfajiri wachezaji hao waliondoka
jijini Dar es Salaam na kutua mjini Bukoba asubuhi na mapema wakitumia ndege ya
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) na mara baada ya kutua waliungana na wenzao
kambini bila hata kupumzika na kwenda moja kwa moja mazoezini kwenye Uwanja wa
Taasisi ya Kanisa Katoliki mjini humo.
Simba inaongoza msimamo wa ligi
wakiwa na pointi 55, huku mahasimu wao, Yanga wakishika nafasi ya pili kwa kuwa
pointi 53, wakati Azam ni watatu wakiwa na pointi 44, kila mmoja akiwa amecheza
mechi 24.
Millionaire Ads
0 Comment untuk " Wachezaji sita wa timu ya taifa Taifa stars wameripoti kambini baada ya michezo miwili ya kimataifa kalenda ya FIFA."