Marefarii kutoka nchini Rwandwa na Guinea
ndio watakaoamua mechi zote mbili za
kombe la shirikisho barani Africa.
Awali Yanga walipanga kuchezea mchezo huo wa April 8
katika Uwanja wa CCM kirumba mwanza lakini umeshindikana kwa kutokizi viwango
vinavyotakiwa na Caf.
Mchezo huo ambao utafanyika jijini
Da re Salaam utachezeshwa na waamuzi toka nchini Rwandwa ajulikanae kwa jina la
Louis Hakizimana akisaidiwa na Jean Bosco na Theogene Ndagijimana wote toka
Rwandwa.
Mchezo wa marudiano utapigwa huko
Algeria Tarehe 14 April na kuchezeshwa na marefa toka nchini Guinea, marefa hao
ni Yakhouba Keita, Aboubacar Doumbouya na Mamady Tere.
Timu itakayopata Matokeo mazuri itaingia
moja kwa moja hatua ya Makundi.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Marefa hawa kuamua mchezo wa Yanga ya Tanzania na MC Alger ya Algeria "