Jana ulifanyika mchezo wa fainali
kombe la mfalme maarufu Copa del Rey na Barcelona kutwaa kombe hilo kwa
kuishinda Alaves 3 – 1.
Magoli ya Messi, Neymar na Paco
Alcacer ndio yaliompa kocha Luis Enrique ubingwa kwa mara ya 9 tangu ajiunge na
miamba hiyo ya Catalonia mapema 2015
Katika mchezo huo vikosi vilikuwa
kama ifuatavyo:
Barcelona:
Ter Stegen; Mascherano (Andre Gomes, min. 11),
Pique, Umtiti, Jordi Alba; Busquets, Iniesta, Rakitic (Vidal, min. 83); Messi,
Neymar, Alcacer.
Alaves:
Pacheco;
Femenia, Ely, Vigaray, Feddal, Theo (Romero, min. 80); Edgar (Camarasa, min.
59), Manu Garcia, Marcos Llorente, Ibai Gomez (Sobrino, minuto 60); Deyverson
Uwanja:
Vicente
Calderon
Watazamaji: 44000
0 Comment untuk "Barcelona 3- 1 Alaves Messi afunga moja na kuwezesha moja, yatwaa ubingwa wa 29 wa Copa del Rey"