Timu za Real Madrid na Barcelona za
Hispania zitakutana mara tatu katika kipindi kisichozid siku 30.
Mchezo wa kwanza utafanyika mwezi wa
saba Tarehe 29 huko Miami Marekani ukiwa ni mchezo wa kirafiki kabla ya msimu
wa ligi kuanza maarufu kama International Champions Cup.
Michezo miwili ni ile ya ufunguzi wa
pazia la laliga maarufu kama’ Supercopa de
Espana legs’ inayozikutanisha msindi wa laliga ambae ni Real Madrid na mshindi
wa kombe la mfalme maarufu kama Copa del Rey ambae bingwa ni Barcelona.
Mchezo wa kwanza utapigwa katika
dimba la Camp Nou August 12 au 13 na marudiano ni tarehe 15 au 16 August.
0 Comment untuk " El Clasico tatu ndani ya miezi miwili July na August 2017"