GARI iliyokuwa imewabeba baadhi
ya wapenzi wa Simba SC pamoja na kiungo Jonas Mkude imepata ajali eneo la
Dumila mkoani Morogoro muda huu , Nahodha wa Simba ameumia kiasi eneo la
shingoni alipokuwa anatoka kwenye hiyo gari baada ya kupinduka.
Simba walikuwa wakirejea Dar
kutoka Dodoma, majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro.
Poleni sana wanasimba
0 Comment untuk "EXCLUSIVE: AJALI, Kiungo Jonas Mkude apata ajali ya gari wakati akirudi jijini Dar es Salaam."