Kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa
ulaya kati ya Real Madrid na Juventus june 3 2017, blog hii imeamua kukuletea historia ya
timu hizi mbili kwa lengo la kuongeza ufahamu wetu juu ya timu hizi,
Timu hizi zimekutana mara 16 katika
michuano ya ligi ya mabingwa na katika mara hizo Real Madrid imeshinda mara 9
wakati juve imeshinda mara 6 na sare ni 1.
Yafuatayo na matokeo ya katika michezo hiyo 16
0 Comment untuk "JUVENTUS VS REAL MADRID HISTORY (EUROPEAN CHAMPION CLUBS AND UEFA CHAMPIONS LEAGUE)"