Shirikisho la mpira wa miguu nchini limetaja majina
matano ya wachezaji watakaopigiwa kura ili kumpata mchezaji bora wa ligi kuu
msimu huu.
Majina hayo ni:
Shiza Kichuya wa Simba
Mohamed Hussein ‘Zimbwe jr’ wa Simba
Simon Msuva
wa Yanga
Haruna Niyonzima wa Yanga
na Aishi Manula Azam FC.
Kura zitapigwa mpaka Tarehe 23 may saa sita usiku,
watakaopiga kura ni makocha wakuu na makocha wasaidizi wa vilabu vya ligi kuu,
na wengine watakaopiga kura ni waandishi wa habari wa habari za michezo ambao watatumiwa
fomu maalumu kwa kupigia kura
Tuzo zitatolewa tarehe 25 may mwaka huu.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Kichuya, Msuva kuwania tuzo ya mchezaji bora VPL msimu huu 2016/2017"