Wilfried Zaha
aanza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya na timu yake ya Crystal Palace.
Mpaka sasa bado Manchester United hawajatuma
ofa ya kumchukua golikipa namba 1 wa Leicester City, Kasper
Scheimichel.
Jermain Defoe
atamani kuhamia West Ham, hii ni baada ya timu yake ya Sunderland kushuka
daraja, wakati huohuo Bournemouth nao wanamnyemelea kwa karibu star huyo
mwenye goli 15.
Kinda wa Benfica mwenye umri wa miaka 16 Umaro
Embalo anawaniwa na timu za Real Madrid na Manchester United,
Madrid tayari wametoa ofa ya €8m kwa mchezaji huyo.
Mamadou Sakho toka
Liverpool atakiwa na Crystal Palace kwa mkopo wa muda mrefu, ikumbukwe
kuwa Sakho amekuwa na msimu mbaya kutoka na kuumia.
Kieran Tierney,
anatakiwa na Man U na Chelsea, beki huyo wa pembeni wa Celtic
mwenyewe bado hajaweka wazi anataka atimkie wapi.
United kumsainisha Bale
wakati Real Madrid kumsainisha Antoine Griezmann.
Tetesi Kutoka kwenye Magazeti ya Ulaya.
Chelsea wako tayari kutoa £40m kwa
Spurs kumnasa beki Kyle Walker (Mirror)
Man City wamuachia Nolito kurudi La Liga katika kilabu yake ya Real Betis (Sun)
Man Utd wanajiandaa kumresha Michael Keane kutoka Burnley kwa
dau la £25m
ikumbukwe United walimuuza mchezaji
huyo mwaka juzi kwa £23m less (Mail)
Arsene Wenger ametangaza kuendelea kuwepo Arsenal kwa msimu mmoja
(Express)
Chanzo: http://www.skysports.com/transfer-centre
0 Comment untuk "Tetesi za usajili Ulaya, Madrid wanamtaka Antoine Griezmann, man u wamtageti Bale"