Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania
Bara, inatarajiwa kuendelea leoJumamosi Mei 6 na Jumapili Mei 7, mwaka
huu kwa jumla ya michezo sita kupigwa mikoa tofauti
Jumamosi hii itapigwa michezo
mitano katika mikoa minne tofauti.
michezo yote kufanyika saa kumi jioni
michezo yote kufanyika saa kumi jioni
Dar es salaam.
Yanga vs Tanzania Prisons Uwanja wa Taifa
Azam vs Mbao Fc Azam Uwanja Complex Chamanzi
Pwani
Ruvu Shooting vs Kagera
Sugar Uwanja Mabatini
Mwanza
Toto African vs JKT Ruvu Uwanja
CCM Kirumba
Ruvuma
Majimaji vs Mwadui Uwanja wa
Majimaji
Kesho jumapili 7 may
Simba SC vs African Lyon Uwanja
wa Taifa
NB kwa mujibu wa TFF
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, inatarajiwa kuendelea leoJumamosi Mei 6 na Jumapili Mei 7, 2017"