Ngoma akimwaga wino kuitumikia yanga
Zile tetesi za kujiunga na Simba
zimefikia tamati leo mchana pale mchezaji tegemeo wa timu ya Yanga Donald Dombo
Ngoma alipokata mzizi wa fitina kwa kusaini kandarasi ya miaka miwili na timu
yake ya Yanga.
Ngoma aliwasili jana usiku na
kulakiwa na baadhi ya viongozi wa Yanga.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Donald Dombo Ngoma asaini mkataba wa miaka miwili Yanga."