Rais
wa shirikisho la soka nchini Tanzania Jamali Malinzi na katibu mkuu wake
wanashikiliwa na Taasisi ya kupambana na Rusha nchini kwa tuhuma za rushwa na
hii inasadikiwa kuwa na michakato michafu Kuelekea uchaguzi mkuu wa TFF.
Alipoulizwa
makamo wa Rais wa TFF ili kuthibisha hilo alisisitiza kuwa yeye anashughuli
nyingi na hayuko tayari kuzungumzia suala hilo kwa kuwa wao huwa hawawasiliani
kila muda na kumtaka mtangazaji wa chombo hicho aliyekuwa anamhoji kutafuta Chanzo
kingine kupata habari hizo na si yeye.
0 Comment untuk "Malinzi na katibu wake ashikiliwa na Takukuru"