Wengi wameshikwa na butwaa tangu
juzi Jumanne june 27 tangu kushikiliwa kwa Rais na katibu wa TFF kwa kutuhumiwa
na TAKUKURU tuhuma ambazo mpaka leo hazijawekwa wazi.
Wengi wamehushisha tuhuma hizo na
matumizi mabaya ya ofisi, wengine wakihusisha na uchaguzi ila ukweli wa tuhuma
zao utajulikana leo pale watakapopandishwa mahakama ya kisutu na kusomewa
tuhuma zao zinazowakabili
Afisa uhusiano wa TAKUKURU Musa
Misalaba amethibisha kwamba, Malinzi na mwenzake watafikishwa mahakama ya
Kisutu leo.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "SAKATA LA MALINZI NA MWESIGWA SASA KUJULIKANA KISUTU LEO."