Jana Ronaldo alijiendelea kujisafishia njia ya kutwaa tuzo ya
mchezaji bora wa Dunia baada ya kuiwezesha timu yake ya Ureno kuifunga timu
mwenyeji wa mashindano hayo Urusi.kwa goli 1 - 0.
kwa matokeo hayo Ureno
imefikisha pointi 4 na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali.
mchezo
mwingine wa kundi A timu ya Mexico imeifungashia virago tiumu ya taifa ya New Zealand
baada ya kutoka nyuma na kushinda goli 2 -1. Matokeo haya yanalifanya kundi
hili kuwa gumu kwani Ureno na Mexico zinapointi 4 kila moja wakati Urusi ina
pointi 3 na kila timu imebakiwa na mchezo mmoja.
Urusi vs
Mexico
Ureno vs
New Zealand
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Video goli la Ronaldo dhidi ya Russia jana kwenye Confederation Cup"