Mwili wa mtoto Bradley Lowery leo umeagwa rasmi na kwenda kuzikwa.
Macho ya wengi ulimwenguni yalikuwa yanamtazama Mshambuliaji wa Zamani wa sunderland
Jermain Defoe ambae alikuwa rafiki mkubwa wa marehemu.
Defoe alishindwa kujizua kila mara na kuonekana kuweka mikono
usoni ili kufuta machozi.
Defoe alipewa heshima ya kuwa msindikizaji wa mwili huo wa
marehemu wakati unatoka katika kanisa la mtakatifu Joseph Blackhall.
Defoe alibubujikwa na machozi alipouona mwili huo ukitoka kanisani
hapo hali iliyowalazimu wapambe kumsindikiza kupanda kwenye gari ili kuendelea
na taratibu za mazishi.
Dogo Bradley alizaliwa mwaka
2011 na alifariki july 2017 akiwa na umri wa miaka 6 kutokana na maradhi ya
kansa yaligundulika kumsumbua tangu mwaka 2013.
Alimazungumza maneno machache
ambapo alisema "Goodbye my friend gonna miss u lots.
"I feel so blessed God
brought u into my life and had some amazing moments with u and for that I'm so
grateful.
"I'll never ever forget the way u looked at me wen I met u
for the first time, the genuine love in those cute eyes.
"Really finding it hard to find words to express what u mean
to me.
"The way u say my name, ur smiles wen the cameras come out
like a little superstar and the love I felt wen I was with u.
"Your courage and bravery will continue to inspire me for the
rest of my life.
"You will never know what a difference you made to me as a
person.
"God has you in his arms and I will always carry you in my heart.
Sleep tight little one. My best friend."
Millionaire Ads
0 Comment untuk " Bradley Lowery Amezikwa leo huku Jermain Defoe akibubujikwa na Machozi., Picha kibao za mazishi "