Kikosi cha Simba chaanza kufanya
mazoezi kambini nchini Afrika Kusini.
Kikosi cha Simba leo kimeanza
kufanya mazoezi kwenye uwanja wa klabu ya Edenvale
Kikosi cha Simba kiliondoka jana
Afjari Kuelekea Afrika ya Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi
na michezo mbalimbali ikiwemo Simba day Tarehe 8 august na ngao ya jamii dhidi
ya Yanga august 23.
Simba imeweka kambi nchini Afrika
kusini kwa muda wa wiki mbili.
0 Comment untuk "Kikosi cha Simba chaanza kufanya mazoezi kambini nchini Afrika Kusini."