Kikosi cha leo
kinaonekana kinamabadiliko kidogo ukilinganisha na kikosi ambacho kilicheza
mchezo wa mwisho wa COSAFA kuwania nafasi ya 3 dhidi ya Lesotho.
Kikosi
kinachoanza:
Aish
Manula,Shomar Kapombe, Gadiel Michael, Nurdin Chona, Salm Mbonde,Erasto Nyoni,
Himid Mao, Mzamiru Yassin,John Bocco, Simon Msuva, Shiza Kichuya
Wachezaji wa
Akiba:
Said Mohamed,
Boniphace Maganga,Raphael Daudi,Tamimu, Stamil Mbonde, Salmin Hozza
0 Comment untuk "Kikosi cha Tanzania leo dhidi ya Rwanda Amavubi Kufuzu CHAN"