Timu ya taifa ya Tanzania leo
majira ya kumi kamili jioni itaikaribisha timu ya taifa ya Rwanda kwenye uwanja
wa CCM kirumba jijini mwanza kuwania tiketi ya kucheza mataifa ya Afrika kwa
wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN).
Stars ambayo inajivunia kuwa na
kikosi bora ambacho kilitwaa nafasi ya tatu katika michuano ya COSAFA na
kufanikiwa kupanda katika viwango vya soka duniani hadi nafasi ya 114 .
Kapteni wa timu ya taifa Himid
Mao amesema wapo vizuri na wana ari kubwa katika mchezo huo hivyo tuwaombee dua
tu.
Endapo Tanzania itafanikiwa
kuitoa Rwanda basi itacheza na mshindi wa jumla wa mchezo kati ya Uganda au
Somalia ya kusini.
Ratiba kamili kwa siku ya leo july 15 michuano ya CHAN:
Comoros vs Lesotho 15:00
Djibouti vs Ethiopia 15:00
Tanzania vs Rwanda 16:00
Botswana vs South Africa 16:30
Millionaire Ads
0 Comment untuk " Taifa stars kibaruani leo kuwakabili Rwanda ikiwa na matuaini kibao"