Kamati ya utendaji ya kilab ya simba
imeamua kwa kauli moja kumkathimisha madaraka ya kukaimu urais wa kilab ya
Simba ndugu Salim Abdallah almaarufu kama Mr Try Again kwa kipindi chote ambacho Rais wa Simba bwana Aveva
akiwa kwenye mikono ya sheria.
Salim ndie Mwenyekiti wa Friends of
Simba kwa sasa amepokea kijiti hicho baada ya Dewj kukataa nafasi hiyo kwa
kutoa sababu za majukumu mengi yakifamilia.
0 Comment untuk "‘Mr try Again’ akaimu urais msimbazi, ndie mwenyekiti wa Friends of Simba"