Uchaguzi mkuu wa shirikisho la soka
nchini TFF umepigwa kalenda na haujulikani utafanyika lini mpaka july 4 kamati
itakapokutana kupanga upya mambo yao.
Mengi yamesemwa, ila mtifuano wa
jana baina ya wajumbe wa kamati ya uchaguzi dhidi ya Rais wa sasa wa TFF bwana
Jamal Malinz wengine wakisema utumike utaratibu wa kuhojiwa kwa maandishi ili
kumpa nafasi Malinzi afanyiwe usaili huku wajumbe wengine wakipinga mpango huo.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Mzimu wa malinzi waitesa TFF, Uchaguzi mkuu wa TFF wapigwa kalenda"