Kapteni wa timu ya Taifa ya Tanzania
Mbwana Samatta jana alifunga goli moja kati ya magoli 3 na kuiwezesha timu yake
ya KRC Genk ya Ubeligiji kutoka sare ya goli 3- 3 katika mchezo wa kirafiki
dhidi ya Ajax ya uholanzi katika Uwanja wa Amsterdam magoli ya Ajax yalifungwa na Kluivert (3'),
Ziyech (13'), Neres (56'), magoli ya Genk yalifungwa na Samatta (21'), Trossard
(25'), Schrijvers (90' strafschop).
awali Samatta alikuwa akivaa jezi namba 77
awali Samatta alikuwa akivaa jezi namba 77
0 Comment untuk "Samatta atupia moja ndani ya jezi namba 10"