Timu ya Simba inasemekana imeachana
na wachezaji wao wawili wa kikosi cha kwanza ambao ni Jamvier Bokungu raia wa
DR Congo Pamoja na Juuko Murshi raia wa Uganda na mshambuliaji aligeuka gumzo
mwishoni mwa ligi kuu na kombe la Azam Sports Federation Fredrick Blagnon,
mshambuliaji raia wa Ivory Coast.
Sababu za kuachwa wachezaji hao ni
kushuka kwa viwango vyao na utovu wa nidhamu.
Ikumbukwe kuwa Juuko aliwasumbua
sana Simba
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Simba kutema watatu wa kimataifa"