Millionaire  Ads

Tanzania yapaa viwango vya soka Duniani na Afrika, Ujerumani yakimbiza, Misri yaongoza Afrika, Spain Out Top Ten


Viwango vya soka Duniani kwa mwezi june vimetoka leo july 6,2017  huku Tanzania ikifafanya vyema baada ya kupanda nafasi 25.
Tanzania imekuwa ya 26 Afrika na 114 Duniani huku ikiipiku Rwanda na Burundi.

Takwimu za ubora ni kama ifuatavyo:

Kumi ubora viwango vya Soka Duniani
1       Ujerumani  
2       Brazil
3       Argentina
4       Ureno
5       Switzerland
6       Poland
7       Chile
8       Colombia
9       Ufaransa
10     Ubeligiji

Kumi bora viwango vya SokaAfrika, duniani kwenye mabano

1       Misri nafasi   (23)
2       Senegal (27)
3       Congo DRC (28)
4       Cameroon (36)
5       Nigeria (39)
6       Burkina Faso(44)
7       Algeria (48)
8       Ivory Coast (56)
9       Mali (59)
10     Morocco (60)

Viwango vya  ubora Afrika mashariki, bano la kwanza Afrika bano la pili Duniani
1              Uganda   (13),( 74)
2       Kenya  (14),( 84)
3       Tanzania  (26),(114)
4       Burundi  (31), (121)
5       Rwanda  (33),(127)

kuangalia zaidi viwango hivyo Bofya link hii>>>> http://www.fifa.com/fifa-world-ranking/ranking-table/men/index.html

Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Tanzania yapaa viwango vya soka Duniani na Afrika, Ujerumani yakimbiza, Misri yaongoza Afrika, Spain Out Top Ten"

Back To Top