Matajiri wapia wa ligi kuu soka
Tanzania Bara Singida United wanaendelea kuimarisha kikosi chao kwa kusajili
nyota wa zamani wa timu ya Stand United ambae msimu ulioisha ameitumikia timu
ya Simba Pastory Athanas kwa mkataba wa miaka miwili.
Mchezaji huyo machachari ambae
amekuwa na msimu mgumu ndani ya Simba jana alikabidhiwa jezi ya Singida United
na mkurugenzi wa Singida United Festo
Sanga
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Singida waibomoa Simba, wamchukua mchezaji toka Simba kwa mkataba wa miaka miwili"