Wadau wa soka Duniani leo wamepatwa
na pigo baada ya mtoto Bradley Lowery kufariki Kutokana na maradhi ya kansa
yaliyokuwa yanamkabili.
Mtoto huyo ambae alikuwa rafiki
mkubwa wa Defoe na shabiki wa ukweli wa sunderland atakumbukwa kwa vingi hasa
kwa umri wake wa mika sita na jinsi alivyokuwa anapambana na maradhi hayo ya
kansa tangu mwaka 2013.
Bradley Lowery alizaliwa 2011
Millionaire Ads
Bradley Lowery alizaliwa 2011
0 Comment untuk "Tanzia, Bradley Lowery Hatunae tena Duniani, ni Yule mshabiki wa Sunderland"