Countinho Akaribia Kuwa Mrithi Wa Neymar
Kwa mijibu
wa gazeti la Daily Star la England mchezaji tegemeo wa live Philippe Countinho
ndie mbadala wa Neymar ndani ya Barcelona.
Barcelona wametenga
kiasi cha pauni million 120 kwa ajili ya kufanikisha dili hilo.
Japokuwa Klopp
amesisitiza kuwa mchezaji huyo hauzwi, kuna uvumi mkubwa kuwa Liverpool nao
wanamuangalia mchezaji wa West Ham Manuel
Lanzini kama mbadala wa Countinho endapo ataondoka.
Wakati huohuo
Barcelona pia wanamuwania mchezaji ambae anavitoa udenda vilabu vya London toka Borussia Dortmund
Ousmane Dembele mwenye umri wa miaka 20 kwa ada kubwa ya pauni
milioni 70. Vilabu vinavyomwania ni Arsenal, Chelsea Pamoja na Tottenham Hotspurs.
0 Comment untuk " Countinho Akaribia Kuwa Mrithi Wa Neymar"