Baada ya sintofahamu bai na ya
mchezaji Gadiel Michael kuutuhumu uongozi kuwa una mbadia na uongozi kusema
kuwa taratibu zifuatatwe hatimae leo maridhiano yamepita na mchezaji huyo
ataitumikia timu ya Yanga.
Yanga jana kwenye kikao na waandishi
wa habari waliituhumu Azam kuwa inawabania pale wanapotaka mchezaji toka kwao
na wakati huohuo mchezaji wa azam anapotakiwa na Simba basi mambo huwa
yanakwenda vizuri.
Waliendelea kulalamika kuwa dau
walilotozwa na Azam ni kubwa hivyo watasubiri mpaka Gadiel atakapomaliza
mkataba ambao ulibakisha miezi 5.
Lakini leo kwa busara ya viongozi ya
viongozi wa Azam wamesikia kilio hicho ya Yanga na kupunguza nusu ya fedha ambayo walikuwa wanaitaka.
Yanga wamekubali kuilipa na kuanzia
sasa Gadiel ni mali ya yanga.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "DEAL DONE GADIEL MICHAEL MCHEZAJI HALALI WA YANGA"