Neymar mwenye
umri wa miaka 25 amesaini mkataba wa miaka mitano ambao atakuwa analipwa Pauni
500,000 kwa wiki na klabu hiyo ya Ufaransa na anatarajiwa kuchezea mechi ya
kwanza siku ya jumapili Agosti 5 dhidi ya Amiens katika mchezo wa ligi kuu
nchini Ufaransa ‘Ligue 1.’
sajili zilizotikisa
Dunia
No
|
Mchezaji
|
Kiasi(£milions)
|
Timu
|
Mwaka
|
1
|
Neymar
|
198
|
Barcelona to PSG
|
2017
|
2
|
Paul Pogba
|
89
|
Juventus to Man Utd
|
2016
|
3
|
Gareth Bale
|
85
|
Tottenham to Real Madrid
|
2013
|
4
|
Cristiano Ronaldo
|
84
|
Man Utd to Real Madrid
|
2009
|
5
|
Gonzalo Higuain
|
75
|
Napoli to Juventus
|
2016
|
6
|
Neymar
|
75
|
Santos to Man Utd
|
2013
|
7
|
Romelu Lukaku
|
75
|
Everton to Man Utd
|
2017
|


0 Comment untuk "PSG yavunja rasmi MSN ya Barcelona"