Ulikuwa ni mchezo mzuri sana na
mashabiki wengi walioshuhudia mchezo huo wameinjoi na mnyama ametawadhwa kuwa
mshindi wa ngao ya hisani baada ya kushinda kwa penati goli 5 – 4.
Dakika 90 za mchezo huo
zilihitimishwa kwa sare ya 0 – 0
Walikosa penati kwa Yanga ni Kelvin
Yondan na Juma Mahadhi
Aliekosa kwa upande wa Yanga ni
Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’
0 Comment untuk "Simba mabingwa wa ngao ya hisani"