Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania
Salum Mayanga leo ametangaza kikosi cha timu ya taifa kwa ajili ya mchezo wa
kirafiki dhidi ya Botswana.
Mchezo huo ambao upo kwenye kalenda
ya FIFA utapigwa September 2 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Kwenye kikosi hicho mkongwe Kelvin
Yondani pia ameitwa kwenye kikosi hicho, pia wachezaji wanaocheza nje ya nchi
wamejuimuishwa kwenye kikosi hicho.
Kikosi kipo hivi:
Magolikipa: Aishi Manula, Mwadini
Ally na Ramadhani Kabwili.
Mabeki: Boniphace Maganga, Abdi
Banda, Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Salim Mbonde na Erasto Nyoni,
Viungo: Himid Mao, Hamisi Abdallah,
Mzamiru Yassin, Said Ndemla, Simon Msuva, Shiza Kichuya, Farid Mussa na Morel
Ergenes,
Washambuliaji: Raphael Daud, Kelvin
SabatoMbwana Samatta na Elias Maguli.
0 Comment untuk "Taifa Stars ya kuivaa Botswana hazarani, wakongwe Erasto Nyoni na Kelvin Yondani wajumuishwa kwenye kikosi"