Kocha wa timu
ya Real Madrid Zinedine Zidane ametwaa tuzo ya kocha bora wa msimu akiwazidi
kocha wa Chelsea Pamoja na kocha wa Juventus.
Zidane
aliiwezesha Real Madrid kubeba vikombe vitatu msimu uliopita na hivyo kuwa
kocha mwenye mafanikio zaidi kwa msimu wa 2016/17.
Zidane
ameiwezesha Real Madrid kuchukua kombe la ligi kuu nchini Hispania (Laliga),ligi
ya mabingwa Ulaya,Uefa Super Cup.
Kwa mafanikio
hayo yalimwezesha kuweza kutwaa taji hiyo mbele ya Conte wa Chelsea ambae yeye
aliiwezesha Chelsea kutwaa ligi kuu ya England pekee.
Zidane ambae
nyota yake tangu akiwa mchezaji imeendelea kung’ara
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Zidane kocha bora wa Msimu wa 2016/17"