Majogoo wa jiji timu ya Liverpool imejiweka
katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya 16 bora baada ya kuifunga Maribor goli
3 – 0 katika dimba lao la Anfield.
Magoli ya Liverpool yalifungwa na Mohamed
Salah 49’, Emre Can 64’ na Daniel Sturridge 90’
Kwa Matokeo hayo Liverpool wapo
kileleni mwa kundi E wakiwa na pointi 8 wakifuatiwa kwa karibu na Sevila wenye
pointi 7 na Spartak Moscow wao wana pointi 5.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Liverpool yacharuka yaikandamiza Maribor 3 – 0 yajiweka mazingira mazuri ya kutinga 16 bora"