Vinara wa ligi kuu nchini England timu
ya man City usiku wa kuamkia leo wakiwa ugenini wameendeleza kile walichokianza
kwenye mashindano mbalimbali barani Ulaya baada ya kuitungua timu ngumu ya
Napoli kwa goli 4 – 2.
Magoli ya Man City yakifungwa na Nicolas
Otamendi 34’, John Stones 48’, Sergio Aguero 69’, Raheem Sterling 90’.
Magoli ya Napoli yalifungwa na Lorenzo
Insigne 21’ na Jorginho 62(penati)
Man City tayari imeshafuzu kwa hatua
ya 16 bora kwa Matokeo ya jana.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Manchester City 4G, yairarua Napoli bila huruma ndani ya San Paolo"