Mabingwa wa Ulaya na Hispania timu
ya Real Madrid usiku wa kuamkia leo imezinduka baada ya kichapo toka kwa Girona
na kuifunga Las Palmas 3 – 0.
Magoli ya Real Madrid yamefungwa na Casemiro
dk 41, Marco Asensio dk 56, na Isco dk 74.
Real Madrid sasa wamerudi katika
nafasi ya tatu baada ya kujikusanyia pointi 23 nyuma ya Valencia wenye pointi
27 na Barcelona wenye pointi 31.
matokeo mengine:
Levante 1 - 2 Girona
Celta Vigo 3 - 1 Athletic Bilbao
Real Sociedad 3 - 1 Eibar
Villarreal 2 - 0 Malaga
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Real Madrid wazinduka, waitandika Las Palmas 3 – 0, Ronaldo bado mambo magumu Laliga"