Millionaire  Ads

Laurarent Blanc kurithi mikoba ya Frank De Boer Inter Milani



Kocha wazamani wa Paris Saint-Germain Laurent Blanc anatazamiwa kuwa mrithi wa Frank De Boer ndani ya Inter Milan baada ya msimu mbovu kwa kocha huyo.
Inter Milan imeuanza msimu wa 2016/2017 vibaya  ambapo mpka sasa inashika nafasi ya 14 katika serie  A baada ya kuwa na point .. katika michezo … huku ikifunga goli  na kufungwa goli ..
Laurent Blanc alitimuliwa mwanzoni mwa msimu na nafasi yake kujazwa na kocha wa zamani wa mabingwa wa ligi ya UROPA Sevila Unai Emery, anaendelea na mazungumzo ya kujiunga na Inter Milan Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Laurarent Blanc kurithi mikoba ya Frank De Boer Inter Milani"

Back To Top