Millionaire  Ads

Raundi ya kwanza yafikia tamati na huu ndio msimamo mpaka sasa

Round ya kwanza ya ligi kuu Tanzania Bara imefikia tamati jana na mtifuano upo nafasi tatu za juu wakati azam fc wakionekana kuzinduka huku vinara simba fc wakipoteza pointi sita katika michezo miwili mfululizo, na wakati huohuo mabingwa wa ligi hiyo yanga wao wanaendelea kuikaribia simba.
Wakati timu zilizopo mkiani zikiendelea kupokezana nafasi mara leo hii kesho ile ila mpaka sasa toto Africans ndio timu inayoshika mkia wa ligi hiyo.

Msimamo ni kama unavyoonekana
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk "Raundi ya kwanza yafikia tamati na huu ndio msimamo mpaka sasa"

Back To Top