Uongozi wa Yanga umeingia makubaliano na kampuni ya Selcom ya kufanikisha wanachama wake kuichangia klabu hiyo.
Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa amesema kutokana na gharama za uendeshaji uongozi umeona hiyo ni njia mwafaka kwa wanachama kuchangia.
"Tunahitaji kulipa mishahara ya wachezaji na watendaji wengine wa klabu, lazima turudi kwa wanachama,"alisema Mkwasa.
Aliongeza kuwa si jambo la ajabu kwa Yanga kuchukua uamuzi huo kwa kuwa hata kampuni mbalimbali zinachukua hatua ili kuendana na hali ya kiuchumi ya sasa.
Meneja Miradi wa Selcom, Gallus Runyeta alisema wanachama wanaotaka kuchangia watatumia mitandao mitatu ya Airtel, Vodacom na Tigo.
Yanga yaomba wanachama na mashabiki wake kuichangia klabu hii kwa mtandao wowote wa simu unaotumia kwa kutumia kumbukumbu namba hii hapa
Kumbu Kumbu namba ni 150334
Jina litasoma YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB.
JINSI YA KUICHANGIA YANGA SC
JINSI YA KUICHANGIA YANGA SC
HATUA M PESA
1. Bonyeza 150*00#
2. Chagua namba 4 lipia kwa M Pesa
3. Chagua namba 4 ingiza namba ya kampuni 123123
4. Ingiza kumbukumbu namba 150334
5. Ingiza kiasi ***
6. Ingiza namba yako ya siri **
7. Utapata meseji ya uhakiki
1. Bonyeza 150*00#
2. Chagua namba 4 lipia kwa M Pesa
3. Chagua namba 4 ingiza namba ya kampuni 123123
4. Ingiza kumbukumbu namba 150334
5. Ingiza kiasi ***
6. Ingiza namba yako ya siri **
7. Utapata meseji ya uhakiki
TIGO PESA
1. Bonyeza *150*01#
2. Chagua namba 6
3. Chagua namba 5
4. Ingiza namba ya malipo 150334
5. Ingiza kiasi **
6. Ingiza namba ya siri **
7. Utapata meseji ya uhakiki
1. Bonyeza *150*01#
2. Chagua namba 6
3. Chagua namba 5
4. Ingiza namba ya malipo 150334
5. Ingiza kiasi **
6. Ingiza namba ya siri **
7. Utapata meseji ya uhakiki
AIRTEL MONEY
1. Bonyeza *150*60#
2. Changua namba 5
3. Chagua namba 2 ( selcom pay )
4. Chagua namba 3
5. Chagua namba 3 ( selcom pay )
6. Ingiza kiasi **
7. Ingiza namba ya malipo 150334
8. Namba yako ya siri ***
9. Utapokea meseji ya uhakiki
1. Bonyeza *150*60#
2. Changua namba 5
3. Chagua namba 2 ( selcom pay )
4. Chagua namba 3
5. Chagua namba 3 ( selcom pay )
6. Ingiza kiasi **
7. Ingiza namba ya malipo 150334
8. Namba yako ya siri ***
9. Utapokea meseji ya uhakiki
source mwanaspoti
0 Comment untuk "Yanga waomba fedha kwa wanachama, wapenzi na washabiki wake "