Katika kuonyesha kuwa Simba imedhamiria kuwa kitu
kimoja, jana jumapili may 14 2017 walifanya vikao mpaka usiku wa manane kwa lengo la kuhakikisha Hans
Poppe anabadilisha maamuzi yake ya kujiondoa ndani ya timu hiyo.
Hans Poppe alichukua uamuzi huo Kutokana na kile
kinachodaiwa usiri katika mkataba kati ya kilabu hiyo na mdhamini wao mpya
Sport Pesa, tangu Sport Pesa waingie udhamini na simba kumetokea sintofahamu
ndani ya kilabu hiyo mpaka kupelekea Dewj ‘Mo’ kuamua kujitoa kuisadia timu
hiyo na kudai kiasi cha fedha ndani ya kilabu hiyo kongwe ya mitaa ya msimbazi.
Millionaire Ads
0 Comment untuk " Hans Poppe akubali yaishe akubali kurudi Simba, asisitiza mapambano yanaendelea."