Timu ya Real Madrid usiku wa kuamkia
leo imetwaa kombe la ligi kuu ya Hispania baada ya kulikosa tangu 2012.
Madrid ambao msimu huu wamezamiria kuwaka
rekodi Dunia walianza kupata goli dakika ya 1 baada ya Ronaldo kuwazidi ujanja
mabeki wa Malaga kabla ya kulamba chenga kipa wa Malaga na kuifungia Madrid goli
la kuongoza.
Madrid imefikisha pointi 93
ikufuatiwa na Barcelona yenye pointi 90, Barcelona wao walifanya kazi ya ziada
kuweza kurudisha goli 2 walizofungwa kipindi cha kwanza na kuibuka na ushindi
wa goli 4 – 2 mbele ya Elber.
Timu zilizoshuka daraja ni: Sporting
Gijo yenye pointi 31,Osasuna yenye pointi 22, Granada yenye pointi 20
0 Comment untuk " Real Madrid watwaa kombe la ligi kuu Hispania, yaikandamiza Malaga 2 – 0 ugenini"