Baada ya juzi kuiwezesha timu yake
kupata ushindi wa goli 3 – 0 mbele ya Sint-Truiden katika hatua ya nusu fainali
ya Belgium Pro league na kutinga fainali ambapo sasa itakutana na mshindi wa 4
wa ‘championship play-offs’ ambae ni Oostende ili kuweza kupata timu moja
ambayo itafuzu kwa ligi ya Europa hatua ya mtoano.
Mchezo huo utapigwa katika dimba la Versluys
Arena, Ostend siku ya kesho may 31,2017.
NB: Katika mchezo huo nusu fainali
Genk walishinda goli 3 – 0 magoli ya Buffel
32',Boëtius 43' na Samatta 55'
Kilalakheri Samatta watanzania
tunakuombea uendelee kuitangaza Tanzania na Afrika mashariki.
0 Comment untuk "Samatta kuivusha Genk kwa hatua ya mchujo wa Europa‘Europa League third qualifying round’ 2017/18 kesho?"