Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF), tunafahamisha kuwa mechi za mwisho za Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara msimu wa 2016/2017zitachezwa kuanzia saa 10.00 jioni bila kujali
kama jua linawahi au kuchelewa kuzama.
Muda huo umepangwa ili kuhakikisha
timu zote zinamaliza mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zinamalizika
siku moja ya Mei 20, mwaka huu na kwa muda mmoja, ikiwa ni pamoja na kudhibiti
viashiria vyo vyote vya upangaji wa matokeo.
source TFF
Millionaire Ads
0 Comment untuk "TFF wataja muda mmoja kumaliza ligi kuuTanzania Bara VPL may 20, timu zote"