Timu Ya taifa ya Tanzania chini Ya miaka 17 Serengeti Boys hesabu
zake zipo hivi
Mali amfunge angola wakati huo huo
Tanzania wapate Droo,
Ili Tanzania itoke basi ifungwe 2-
0 na Niger,
kinyume cha hapo ni ndumu kuitoa
Tanzania.
Maajabu ya kundi hili ni hivi endapo Mali itafungwa 2- 1 na Angola,
Tanzania ikafungwa 2 -1 na Niger basi kila timu zitalingana kila kitu na
itabidi irushwe shilingiMillionaire Ads
0 Comment untuk "Hesabu za Serengeti Boys ili kuingia Nusu Fainali na kupata Tikeki ya kombe la Dunia"