Malinzi hataweza kwa kuwa kesi
iliyomfikisha mahakamani leo itasikilizwa tena Jumatatu Julai 3 na Malinzi
atakaa rumande hadi siku hiyo.
Usaili wa viongozi wanaogombea
uongozi TFF unafanyika kuanzia leo hadi keshokutwa wakati huo Malinzi atakuwa
mahabusu.
Malinzi amefikishwa leo mahakamani
akiwa na katibu wake, Mwesigwa Celestine.
Baadhi ya mashitaka hayo ni kughushi
waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa imeridhia kubadilishwa kwa
Signatories (watu wanaosaini nyaraka za benki kutoa fedha). Shitaka hilo
linawahusu Malinzi na Mwesigwa.
Malinzi amedaiwa kugushi risiti za
kwamba anaidai TFF na ziko risiti 20 ambazo anatuhumiwa kuzifoji.
Shitaka jingine ni utakatishaji na
hii wote watatu, Malinzi, Mwesigwa na Nsian wanatuhumiwa kutakatisha kiasi cha
dola 375418.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Malinzi ndio basi tena Urais TFF"