Rais wa CAF atuma salamu zake za
rambirambi kwa rais wa shirikisho la Soka la Senegela kufuatia tukio baya
michezoni ambapo watu 8 walifariki katika Uwanja wa Demba Diop ulioko Dakar
siku ya jumamosi july 15 2017 kwenye fainali ya kombe la ligi nchini Senegal na
kujeruhi wengine zaidi ya 90.
Katika mchezo baina ya Stade de
Mbour na Union Sportive Ouakam, timu ya Mbour ilitwaa taji hilo baada ya
kuichapa Union Sportive Ouakam goli 2 – 1.
0 Comment untuk "AHMAD AHMAD ATUMA SALAM ZA RAMBIRAMBI KWA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA SENEGAL BAADA YA AJALI MBAYA UWANJANI"