Timu ya Mbeya city imemnasa mshambuliaji hatari wa timu ya
Misosi Fc Idd Selemani alimaarufu‘Ronaldo’
kwa mkataba wa miaka miwili.
Awali mchezaji huyo alihusishwa kutakiwa na Singida UTD lakini
dili hilo lilikwama Kutokana na kutokubaliana baadhi ya mambo ya kimaslahi.
Ronaldo aliwahi kuzichezea timu mbalimbali za ligi daraja la
kwanza ikiwemo Ashanti United na Kinondoni Manicipal Council ‘ KMC’.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "‘RONALDO’ ATUA MBEYA CITY"