Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza makundi
matatu ya Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara maarufu kama (FDL).
Ligi daraja la kwanza ina jumla ya timu 24 katika mgawanyo wa
timu 8 nane zitakazochuana msimu huu wa 2017/18 kuwania nafasi tatu muhimu za
kupanda daraja na kucheza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa
2018/19.
Makundi Yapo Hivi:
KUNDI ‘A’
1)
African Lyon ya Dar es Salaam
2)
Ashati United ya Dar es Salaam
3)
Friends Rangers ya Dar es Salaam
4)
JKT Ruvu ya Pwani
5)
Kiluvya United ya Pwani
6)
Mgambo JKT ya Tanga,
7)
Mvuvumwa ya Kigoma
8)
Polisi Moro ya Morogoro.
KUNDI
‘B’
1) Coastal
Union ya Tanga
2) JKT
Mlale ya Ruvuma
3) KMC
ya Dar es Salam
4) Mawezi Market ya Morogoro
5) Mbeya
Kwanza ya Mbeya
6) Mufundi
United ya Iringa
7) Mshikamano
ya Dar es Salaam
8) Polisi
Dar ya Dar es Salaam
KUNDI
‘C’
1) Alliance
School ya Mwanza
2) Pamba
ya Mwanza
3) Toto
African ya Mwanza
4) Rihno
Rangers ya Tabora
5) Polisi
Mara ya Mara
6) Polisi
Dodoma ya Dodoma
7) Transit
Camp ya Shinyanga
8) JKT
Oljoro ya Arusha
ligi hiyo inatarajiwa kuanza baadaye mwezi ujao.
Wakati
huohuo TFF imeviagiza vilab vya Ashant,KMC,Polisi Dar na Friends Rangers kutaja
viwanja vyao watakavyovitumia kwa mujibu wa kanuni ya 6(1) ya ligi kuu na ile
kanuni ya 11 inasisitiza kila timu ili ipate leseni lazima iwe na kiwanja cha
mechi ya nyumbani.
Millionaire Ads
0 Comment untuk " RATIBA LIGI DARAJA LA KWANZA HADHARANI"