KIUNGO Mkabaji Mkongo Papy Kabamba
Tshishimbi (27) anayekipiga Mbambane Swallows ya Swaziland, amefanyiwa vipimo
mara baada ya kukamilisha uhamisho wa kutua Yanga SC.
Tshishimbi amefuzu vipimo hivyo na
tayari atasaini mkataba wa kuitumikia timu hiyo ya mitaa ya jangwani.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "YANGA YAMALIZANA NA MBADALA WA NIYONZIMA."