Millionaire  Ads

Banda atua mazoezini Simba kuwapa hi



Mchezaji wa zamani wa timu ya Simba ya Tanzania Abdi Banda ambae anacheze ligi kuu nchini Afrika Kusini ametua kambini walipoweka kambi Simba SC na kukutana na baadhi ya wachezaji na viongozi na makocha wa timu hiyo.
Banda ambae amesajiliwa na timu ya Baroka FC kwa mkataba wa miaka 3 amesema kuwa hatoweza kuisahau timu ya Simba kwani ndio iliyompa mwanga wa mafanikio haya aliyoyapata kwa sasa.

Banda alionekana kutupia picha mbalimbali 
Millionaire  Ads

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comment untuk " Banda atua mazoezini Simba kuwapa hi"

Back To Top