Michuano ya Hisani ya kuchangia
mfuko wa UKIMWI inahitimishwa kesho wakati timu ya Yanga B itakapomenyena na Tanzania
Prisons.
Tanzania Prisons wamefanikiwa
kutinga fainali baada ya leo kuifunga timu ya Simba B kwa mikwaju ya penati 8 –
7 baada ya sare ya 1 – 1 ndani ya dakika 90.
Yanga B wao waliitoa Mbeya City hapo
jana baada ya kuilaza kwa goli 3 – 0.
Millionaire Ads
0 Comment untuk "Fainali ni Yanga B na Tanzania Prisons kombe la hisani"